Ukitaka kuwafukuza Mbu wanaoleta ugonjwa wa Malaria nyumbani kwako panda Mmea wa Mchaichai au weka huo Mmea
ndani ya nyumba yako kama pambo basi Mbu hawata sogea nyumbani kwako
utakuwa umewaweza Mbu wana uchukia huo Mmea wa Mchaichai. Haya
nimewapeni Dawa ya bure hiyo kazi kwenu.
FAIDA YA KUTUMIA MCHAICHAI KAMA...
Sunday, July 14, 2019
undefined
201
Majani ya mpera yana faida kiafya kama tunda la pera. Majani ya mpera
yana virutubisho vya kuzuia uvumbe na tannins zinafaida nyingi kiafya
ikiwemo kutibu maumivu ya tumbo pamoja na ugonjwa au magonjwa ya kansa.
Faida ya majani ya mpera ni kama yafuatayo;
KUPUNGUZA MAFUTA MWILINI
- Matumizi ya majani ya mpera...
undefined
201
Moringa maarufu kama Mlonge ni miongoni mwa miti muhimu kuliko yote
duniani. Mti huu ukuao haraka hupandwa katika maeneo mengi na hutumika
kama chakula cha binadamu, lishe ya mifugo, tiba mbadala na kusafisha
maji.
Hizi ndiyo faida za mmea huo ambao unatibu maradhi mbalimbali:
1.
Mti wa Mlonge husaidia watu...
undefined
201
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume haraka
Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama
elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa
sana.
Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama
inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe...
undefined
201
Tangawizi
ina faida nyingi sana kwa mwili wa mwanadamu. Baadhi ya faida hizo ni kama
ifuatavyo :
1. Kutibu kutokusagika kwa chakula tumboni,.
2. Kutibu tatizo la gesi tumboni
3. Kuondoa tatizo la msokoto wa tumbo (bila kuharisha)
4. Husaidia kuzuia kutapika.
5. Mshtuko/Mkazo wa ghafula (wa msuli),
6. Maumivu...
Page 1 of 11